a
Lk 10:42
;
Za 23:6
;
61:4
Psalms 27:4
4
a
Jambo moja ninamwomba
Bwana
,
hili ndilo ninalolitafuta:
niweze kukaa nyumbani mwa
Bwana
siku zote za maisha yangu,
niutazame uzuri wa
Bwana
na kumtafuta hekaluni mwake.
Copyright information for
SwhNEN